Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Vers, ni movie/series gani imechezewa Whitehouse?
Swali gumu hili. Maana hua wanabadirisha Mazingira kwa CGI and VFX technology ili kufanya kitu kifanane na kitu fulani.
Ukweli hakuna muvi iliyochezewa WH..ila hua wanachukua tu front view halafu ndani wanafanya tu setting ya mazingira.
So hua na-imagine kua niko WH
 
images%20(1).jpg
 
Nahisi wanafanya hivyo.
Maana sidhani kama pale wa naweza ruhusiwa
 
Khaa nilitaka nishangae eti from nowhere watu waruhusiwe kuigizia kwenye jumba jeupe kizembezembe tu !!
Swali gumu hili. Maana hua wanabadirisha Mazingira kwa CGI and VFX technology ili kufanya kitu kifanane na kitu fulani.
Ukweli hakuna muvi iliyochezewa WH..ila hua wanachukua tu front view halafu ndani wanafanya tu setting ya mazingira.
So hua na-imagine kua niko WH

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si mchezo. Wakiruhusu wanaweza ingia hadi waovu wakafanya yao.
Kuna muvi nimesahau jina watoto wa shule walienda HW. Moja ya watoto baba ake alikua anafanya kazi hapo kwenye idara ya Usalama. Magaidi wakatumia nafasi hiyo ya watoto kufanya yao humo ndani.
Huyo mtoto na dingi ake walipigania VIP anatoka mzimaaa..
Ila HW ilibomoka
 
Back
Top Bottom