Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Na kwako pia ba mkubwa. Za huko?Heri ya Mwaka Mpya.
Umeitia doa gwanda ulilovaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
Na kwako pia ba mkubwa. Za huko?
Naomba uje na I'd hii hii.Hahahaha hebu baadae nitakutafuta ngoja niende kijiweni kudanganya watu kuhusu siasa.
Hata kunialika sikukuu ukashindwaNaanzaje kukususa?
Sema harakati za sikukuu tu hapa ndo zimeniweka busy kiasi.
Karma nakusalimuTupo jamani tunasubiri haiba,, usisahau kunitag tu mimi..
Heri ya mwaka mpya na mafanikio
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaha...
Ndio style zako za 2020 [emoji23][emoji23]
Ukaniacha Mimi natia huruma sikukuu jamani[emoji18][emoji18].. Christmas ikapita,nikapiga moyo konde nikitegemea new year nitaalikwa,imefika tar 1 naona patupu tu.Huu mwaka wote ni wa sikukuu kwangu, wewe mwaliko wako upo.
Wewe sio wa kuoshwa kucha kaka jamani[emoji25][emoji25][emoji25] hapana sissy usifanye hivyo
Jr[emoji769]
Ukaniacha Mimi natia huruma sikukuu jamani[emoji18][emoji18].. Christmas ikapita,nikapiga moyo konde nikitegemea new year nitaalikwa,imefika tar 1 naona patupu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
Wee nakumbuka kipind icho unatunyanyasa sana sisi ServiceMan
Nw umehamishiwa makao?
Sent using Jamii Forums mobile app