Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,027
Ile yenye picha ya moto.
Ile yenye picha ya moto.
Sijui kwa nini nimecheka sanaaaaa.. kweli we only live once
Nimeona hata mimi. Ila usiku nakutext Instagram.Tumia mara moja kwa wiki inasaidia kukuza nywele.
Tumia mara moja kwa wiki inasaidia kukuza nywele.




Nywele gani unasemea kwanza nisije kuwaza nywele nyingine bure.
Nywele gani unasemea kwanza nisije kuwaza nywele nyingine bure.











Hahahaha hebu baadae nitakutafuta ngoja niende kijiweni kudanganya watu kuhusu siasa.