NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,726
- 49,572
Huo mkao yusufu anatoka bila shida
Mdogo wangu hewa chafuSijaelewa.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Bora tu unielewe.
Bora tu unielewe.
Sijui why nilimpenda vile
Unaongea na mimi?Niwaaacheee
Hahahahaah
Mimi tena jamani
Atakuwa kaamini!!
Amesahau alipanga akutane na Sakayo toka tarehe 27
Ooooh!! Hapo sawa mama J.
Na wewe mpendwa ni kama mwanasheriaKwenye picha mtoto anaonekana kageuza Shingo pembeni ni kiasi gani hajapenda ulivyojiachia hapo hakawezi tu kuongea ila kamechukia hata sura inaonesha
Muwe na adabu kidogo ,mnatutamanishs vitu ni vyenu sio vizuri
Mdogo wangu hewa chafu
Naandika kihenga zaidi🤣🤣🤣Duh Noma sana.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nitaota ndoto mbaya na hiyo minywele yake
Umeangalia hii mechi? Bila shaka hujaangalia
Nitaota ndoto mbaya na hiyo minywele yake
nimeangalia ila nashangaa unanilazimisha kutoangaliaUmeangalia hii mechi? Bila shaka hujaangalia