Khaaah!! Tunakukera kwa lipi labda? Kuambiwa wewe mdogo wakati kweli ni mdogo umakereka nini?
Mie nikiambia mzee walaa sikereki maana ni kweli, sasa sijui kwanini wewe unateseka

Mbali na umri na vihela vyako vya mawazo ambavyo muda sio mrrfu nitakua nazo namm tena yawezekana nyingi kukushinda.
Niambie kipi kingine unachonishinda.
Ukitoa umri wako nina uhakika hunikuti hata nusu ya nilipo