Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahah...

Watu wamelizwa sana Tabata, walikuwa wananunua viwanja wakati wa kiangazi, enzi hizo ukiwa na kiwanja Tabata ilikuwa deal...

Sasa ulipokuwa ukiwadia msimu wa masika unapata mtu kauziwa mahali maji yanapita au ndio yanapokwamia...
Tabata Bayma...ndio Tabata Bima
kuna rafiki angu mmoja anaishi huko, Tabata shule uwahilin kama Mwananyamala
 
Kuita ngoma old school au sio ni kutokana na mtazamo wa mtu..
Mimi naita ngoma za 2014 ni old kwakua ndio nilikua naanza form one so zanikumbusha mbali..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…