Selfika na JF: Snap it. Show it

Barabara ilikuwa ina mashimo makubwa kuliko Ziwa Victoria, ukiwa na ki ViTZ kinazama kizima kizima kukipata labda mtafute meli ije kukiengua kutoka chini huko!
 
Your apologies is accepted..
Old school songs nilizonazo zipo kama 1800+ hapo kwenye screenshot sidhani kama zinaonekana hata 200. Umeona cgache kuliko nyingi zilizobakia..
Old song mimi hua naziita zile za kuanzia 2014 mpaka 2000
Mkuu, nadhani ungeanzia 2008 kurudi nyuma angalau kidogo ungeitendea haki Bongo Fleva..

Kuanzia 2009/2010 hapo ndio zikaanza hizi vurugu za beat makers na wasanii wao kuvuruga ladha ya kamziki ketu..

Ngoma ya 2014 uipe hadhi ya Old Skool? Cu'moon.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah Kinyerezi na Segerea,, hata Bima na Kisukuru pia naona kuna sehemu watu wameshusha mijengo..
Sent using Jamii Forums mobile app
 

TouchΓ©


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…