Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,541
- 88,492
😂😂😂 njoo na sindano ushoneSuruali imechanika![]()
Acha roho ngumu dadaKwa albam
Pole dada, naona umekosa hela ya kushona suruali
Ni akili zako!😝😝Pole dada, naona umekosa hela ya kushona suruali



we mtoto leo nimeamini kweli hunipendi,, yaani event yenyewe kesho halafu unanimbia leo aliyekuambia mie nina hela ya kupanda bombardier nani.. ungeniambia mapema ningedandia dar express chap nikatimba huko fyade,, unazingua chalii..


ila we dawa yako january tu yaani mie hata siongei sana mbona
Ongea na Mshana Jr akuazime ungo wake 😂😂😂😂we mtoto leo nimeamini kweli hunipendi,, yaani event yenyewe kesho halafu unanimbia leo aliyekuambia mie nina hela ya kupanda bombardier nani.. ungeniambia mapema ningedandia dar express chap nikatimba huko fyade,, unazingua chalii..
ila we dawa yako january tu yaani mie hata siongei sana mbona
Sent using Jamii Forums mobile app
Ongea na Mshana Jr akuazime ungo wake
Dada emu usinitishe mie na hiyo January, na vile inavyokuwaga ngumu!! Mbona nitaona kila rangi
Hapo ni pabaya mkuu?Mzee baba hiyo suruali ulipoivalia...
Ni huyu wewe au yule shangazi wa Mbeya? 😂😂😂😂Weee mtoto shika adabu yako na adabu yako ikushike yaani wewe na adabu yako mshikane kisawasawa,, mama yako mkubwa mimi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Bahati yako mbaya, subiri Pasaka....afu hiyo January naomba uanze kujipanga mapema 😩Yaani natamani hata ningekuwa huko,, tena nimeona inafanyikia sakina ushuani huko daah ningekuwa sijatingwa wallah ningekuja..
January ngumu sana halafu inakuwaga ndefu
Sent using Jamii Forums mobile app
?????
Ni kama inataka kushuka hivi, kama sio imeshashuka kabisaHapo ni pabaya mkuu?View attachment 1304099
Yaani natamani hata ningekuwa huko,, tena nimeona inafanyikia sakina ushuani huko daah ningekuwa sijatingwa wallah ningekuja..
January ngumu sana halafu inakuwaga ndefu
Sent using Jamii Forums mobile app