Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,486
Haha unapanga kiumri siyo?? Basi sawa mimi niko baada ya Saint anne!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Muda bado tulia
Sent using Jamii Forums mobile app
Muda bado tulia
😂😂😂😂😂😂Haha unapanga kiumri siyo?? Basi sawa mimi niko baada ya Saint anne!!
Sent using Jamii Forums mobile app
,😂😂😂😂Sasa hivi Kimyaaaa, Ngoja watoke kanisani
Sent from my iPhone using JamiiForums
Anipatie haraka ili niweze kuumpa agent kazi ashughulikieOkee kaka Watu8 naomba nisaidie kufanya mchanganuo wa gharama tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app

Kuwa mpole

😂 😂 😂Hahahaha basi afadhali hata uko mwenyewe ili tuboreke wote sasa,, Merry Christmas my sister..
Sent using Jamii Forums mobile app
![]()
![]()
![]()
Nikajua utanipa maneno ya faraja na ki mpesa juu, ndo kwaaanza kamtu kanasema afadhali..!!
Same to you lil sis.!![]()
Mpaka mda huu bila bila wallah ngoja nibandike mboga ya taifa(maharage)





, bandika Kama Back up , Baadae Kama Kawa.