Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Ndiyo Don C nakumbuka, mpaka nimeona haya!!
Hahaha, nasubiri msimu wa sikukuu uishe nikutafute.
I hope you are doing great.
Ndiyo Don C nakumbuka, mpaka nimeona haya!!
Nikuone 😂😂
😂 😂 😂 😂Hahaha, nasubiri msimu wa sikukuu uishe nikutafute.
I hope you are doing great.
😂 😂 😂 😂
Msimu wa sikukuu mnauogopa sababu ya 'babe nikuambie kitu'..!!
then we call it a blessing..!!Not neccesarily.
Tunakupeni nafasi ya kukaa na wazazi msimu huu.
Then tuna take over baada ya msimu.
then we call it a blessing..!!
Okay, gotchaNi 'situationship' rafiki yangu, si wajua kanisani ni suala la utayari wa kiroho kule huendi tu ili kuongeza namba!
Pole sana Mkuu, halafu dar unakuja kimya kimya...Niko chalinze nimekwama hapa
Jr![]()
Pole sana Mkuu, halafu dar unakuja kimya kimya...
Ushapata msaada au bado...
View attachment 1302864
Sent using Jamii Forums mobile app

Hapo safi nipo tips sasa...
Naomba kuuliza
Haha..!!
Sijakunyima chochote this time, at least ningekuwa nyumbani na familia ndo ningekuringishia hadi ukome!!