Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,486
Haha kuna hoteli ukifika chooni hauoni choo unakuta chumba tu kitupu kumbe ni hadi utumbukize kadi mahali ndiyo choo kinajitoa ukutani sasa ukiwa mshamba kama mimi wallah unaachia haja zote hapo hapo huku unajiona
Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia ipo mbali sana, kuna hotel moja nilienda kuna sehemu nilichemka nikalala bila kuoga bafu koki siioni
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
67, 88 Bucks? 

The sauce is the BOSSSSSSS!
🥰