Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,485
Yes your majesty,, I will when Satan returns to God..
Sent using Jamii Forums mobile app
Muwekee picha yako![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Muwekee picha yako![]()
Ndio nashangaa hotel yenye hadhi hiyo inakosaje simuUna akili sana, tena Mara nyingi namba yake huwa Uno
Sent from my iPhone using JamiiForums



Nyoo 😂😂😂😂
Suu....anza kuiweka WhatsApp
Hizi ni chips maini?
Hivii Xmas ya mwaka huu imekuja ghafla kwangu tu ama? Maana nyumba nzima nimejikuta nipo ndani peke yangu kama utumbo..!!
Sasa hii si ndio poa...hakuna fujoHivii Xmas ya mwaka huu imekuja ghafla kwangu tu ama? Maana nyumba nzima nimejikuta nipo ndani peke yangu kama utumbo..!!
My one girl army..
Siyo raha hata, ni kuboeka!!Sasa hii si ndio poa...hakuna fujo
My one girl army..
this soul has missed you die..!!
Unaendeleaje mdogo wangu?
Ni gani inazuia ww enda kwa church?Siyo raha hata, ni kuboeka!!
Bora ningekuwa japo kanisani!!
Haha..!!Naendelea poa sis sijui wewe,, christmas hii unaninyima nini jamani??
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha..!!
Sijakunyima chochote this time, at least ningekuwa nyumbani na familia ndo ningekuringishia hadi ukome!!
Ni 'situationship' rafiki yangu, si wajua kanisani ni suala la utayari wa kiroho kule huendi tu ili kuongeza namba!Ni gani inazuia ww enda kwa church?
Ndiyo Don C nakumbuka, mpaka nimeona haya!!Wewe na mimi tuna pending issue, unakumbuka?