Selfika na JF: Snap it. Show it

Bongo hadi tuje fikia huu ustaarabu, sijui itakuwa mwaka gani...(though some parts za Dar wanafanya, Mikocheni, Masaki na O'bay)

Acha tuendelee kupambana naashimo ya taka

Hapo moja ni la recycling...plastic materials, boxes, glass, etc.

Jingine ndo la regular trash.

Bongo kuna recycling center yoyote ile?
 
Self-check out. Scan and go.

Wakati mwingine mtu unaenda dukani kununua kitu au vitu ambavyo hutaki mtu mwingine ajue unanunua.

Mfano, kuna watu huwa wanaona noma kwenda dukani kununua condoms, tampons, chupi, nk.

That’s when self-check out kiosks come in very handy.

Una scan bidhaa, unachagua ulipe kwa pesa taslimu au kadi, unalipia. Unaweka bidhaa kwenye mfuko. Unachukua risiti yako. Unasepa.

Hakuna ajuaye [zaidi ya mashine] umenunua nini.

Faragha ni jambo muhimu.



Bia bia....

 
Dunia ipo mbali sana, kuna hotel moja nilienda kuna sehemu nilichemka nikalala bila kuoga bafu koki siioni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo moja ni la recycling...plastic materials, boxes, glass, etc.

Jingine ndo la regular trash.

Bongo kuna recycling center yoyote ile?
Comrade na mimi nimeyasukuma sana hayo madude back then
,kuwawekea jamaa wa green 'robotic armed' truck waje collect...

Kwa bongo zipo lakini ni za ku collect only plastic bottles, mainly zile za maji ya kunywa ya chupa...

Hata hivyo hakuna system nzuri ya watu kuzidispose, huwa watu tunazitupa tu hovyo bila kujali...

Kuna watu huwa wanaziokota na kwenda ziuza kwa kilo kwa hao wanafanya recycling...
 

Safi sana , Tutafikaga tu, Last time I self checked was in a vending machine 🤣


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…