Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila Leo Nina furaha na bahati sana , Toka asubuhi nacheka tu na napokea vitu [emoji23]. Siku kama hii ziwe nyingi.[emoji108]


Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni wakati wa kutoa sasa. Nasubiri zawadi yangu[emoji41]
 
20191224_191025.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe na wewe uliona,, sema ashukuru siku hizi nimekuwa mstaarabu maana ingekuwa enzi zile sitaki hata kuwaza ni jibu gani lenye ningempa..

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila angekujibu wewe hivyo mimi ndiyo ningeandaa mbavu zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Umekuwa mstaarabu au umekua!![emoji12][emoji12][emoji85]
 
Back
Top Bottom