Some folks wako na hela, wana spend tu bila shida...
Huko tumeshaenda hadi tumechoka we wanna cross borders now,, we wanna go overseas by the way unajua mie ni mpenzi pia wa treni enh..
Kuna chombo kinaitwa rovos rail kiko south africa huwa kinakuja bongo mara moja moja kile nacho nakitamani sana ni moja kati ya luxurious trains duniani,, 15 days trip from dar es salaam to cape town njiani mnatalii tu na kula bata huku ndani kuna kila kitu ila uliza hizo nauli zake sasa ni ada ya IST kama siyo DIA kwa mwaka mzima..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unataka cross borders basi anza kwa kwenda nearest destinations kama Ushelisheli au Comorro, au hata Mombasa sio mbaya...(nimetaja hizo vile kuna beaches)...plusthey're few hours away from TZ na sio gharama kihivyo
Hahah...In Trump country, hata wasio na mahela kivile huwa wanaweza....
Thanks kwa tax returns....hususan kwa wenye mtoto au watoto au dependents wanaoweza kuwa claim kwenye returns zao.
Tax season is coming up.
Imagine getting a windfall of up to $15,000.00....
Hahahaaa that’s my favorite season of the year.
Yeah Mauritius na Comoros are in my list,, Madagascar na Seychelles nazo nitazifikiria..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah...ni wishes za wote si weweYeah nikikuwa mkubwa nataka niwe kama hao folks,, niachane na hizo mawazo za oohh hii hela ningeshanunua nini sijui ah hayo mawazo ya kimasikini sana aise..
Sent using Jamii Forums mobile app
Good idea...
Usisahau na Qatar 2020
Hahah...ni wishes za wote si wewe
Hata wenye hela wanataka kuwa nazo zaidi
Save laki mbili na buku ishirini kila mwezi ndoto yako itatimia baada ya mwaka.Hayo majina siju princess blahblah yasikutishe.Daah itabidi nijitahidi kaka,, hapa nilipo ndiyo kwanza nawaza kilimanjaro six na kilimanjaro seven hizo sky princess na lady moura sijui nitazikuta lini..
Sent using Jamii Forums mobile app
cruise ship yenyewe ndio hii hapa. inaitwa sky princess. kimuundo inataka kufanana na titanic ship.Daah imebidi niisave hii gif for future reference daah one day yes never say never
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah...hii ndio rough breakdown
Round trip ticket ya Doha ukikata muda mrefu kabla ni around 700$
Hotel ni 100$ per day
Usafiri 50$ per day
Food 100$ per day
Ticket naamini itakuwa kati ya 70$ hadi 150$ per game kwa sisi wa kawaida majukwaaa ya kati.Kam una mshikaji yupo UAE au Doha unaweza pata nafuu zaidi maana mara nyingi kwa wenyeji huwa wanauziwa bei ordinary
Visa kwa Qatar unapata Visa pale pale airport na ni bure (kwa uzoefu wangu wa mara moja niliyoingia hapo kwao sina uhakika kama watabadili sheria comes WC)
Sasa piga hesabu tu hizo gharama za per day kwa masiku utakaa
Save laki mbili na buku ishirini kila mwezi ndoto yako itatimia baada ya mwaka.Hayo majina siju princess blahblah yasikutishe.
cruise ship yenyewe ndio hii hapa. inaitwa sky princess. kimuundo inataka kufanana na tatanic ship.
sema hii ni ya generation ya kisasa zaidi.
humo ndani unaweza hisi upo peponi kwa jinsi kunavyovutia, kila starehe inapatikaa. View attachment 1301620
kama wewe ni mmoja ya watu ambao wamekuwa wanatoa "LIKES" kwenye post zangu ndani ya topic hii, basi fahamu wewe ni mtu wa thamani sana kwangu.
uwe na sherehe njema za xmas na mwaka mpya.
hawa ni baadhi tu, najua mpo wengi. shukrani kwenu wote.
View attachment 1301632View attachment 1301633
Hahahaha aise tena hapo tuombe hadi kufikia huo mwaka bei ziwe hazijapanda na hela yetu isiwe imeshuka tena thamani
Hapo kwa sasa hivi si chini ya million 5 yaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama una mpango wa kwenda ina maana unaanza hifadhi USD sasa hivi...
Tena ukiweza unafungua kabisa acount ya USD ya savings tu