Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahaha lol si ndiyo hadi tupate hao wanaume ambao wako tayari kumwaga pesa zao kwenye hayo maraha sasa?? Kuna wanaume wana pesa mob tu ila wao na kusafiri ni kama maji na mafuta!!

Halafu na wewe usikute umo ila basi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah sijawahi kupanda hilo dude maana sina uwezo huo financially na wala sina mpango hata kama ningelikuwa na hela za kutupa...

Taarifa zake ninazo kwa kuwa mimi ni mpenzi wa kutazama documentaries, mfano Nat Geo Mega Structures kuna episodes kadhaa wakionesha habari za hayo madude
 
Oohh ni kwamba haupendi tu kusafiri au??
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…