Mie najuaga Hawachi ni muongo lakini i never knew kwamba ni muongo to this extent![emoji23][emoji23]
Ungeanza ww kutuma picha za bata[emoji39][emoji39]Chart nyingi picha hakuna[emoji35][emoji35]
Kwamba huna habari kamera ya simu yangu mbovu?Ungeanza ww kutuma picha za bata[emoji39][emoji39]
Yeah inabidi tuhamie kule ili kuimarisha bondHahahaha kubadilishana mawazo si unabadilishana na mtu yeyote tu my dear?? Au lazima baada ya kubadilishana mawazo basi tuhamie kule kwa rikiboy??
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa..
Keep searching mpendwa finally you'll find your Mrs Right 💃
Eeh inawezekana eti....ngoja nitakupa mrejesho 😂😂Haha...
Sasa unaweza pata umetumiwa nambari cha check ili utoe mtonyo wa sikukuu...
Hebu fungua buanaaa
Usisahau ukiona dalili za mtonyo, usisite nijulisha tuutumbue soteEeh inawezekana eti....ngoja nitakupa mrejesho [emoji23][emoji23]
Kwanini usiwe wewe hapo ?Keep searching mpendwa finally you'll find your Mrs Right [emoji126]
Hahaha bata bata[emoji38]Ungeanza ww kutuma picha za bata[emoji39][emoji39]
Umeona ss picha ya bataKwamba huna habari kamera ya simu yangu mbovu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nanyi mnakwama wapi kuwa kama Dangote hadi mtukwamishe na sisi[emoji134][emoji134][emoji134]I guess hiyo ni cruise ship zile zinakuwa kama kijiji cha maraha hivi...
Unalipa mtonyo fulani wa kutosha then mna cruise across nchi kadhaa "nowhere voyages" ili tu kutafuna kuku na bata wa kisasa...
Ndio muolewe na kina Dangote mle bata, mnakwama wapi wadada kuolewa na kina siye wa kwa Mtogole, mnaishia kugonga misumari na sare ya jela...
[emoji16][emoji16]
Huyu jamaa has been my companion kipindi hiki...Some one you loved -Lewis, in the list of videos I liked on YouTube.
Its a good song.View attachment 1300696
Sent using Jamii Forums mobile app