Kwa siku unausikiliza mara ngapi?
Ushindi wa Liverpool hata mimi umenifariji sanaDaah mimi Liverpool naipenda sana ndiyo maana hata nilifurahi wao walivyochukua uefa ila wewe ndiyo unanifanya niichukie muone kule hama hiyo timu hebu
Sent using Jamii Forums mobile app
😆😆😆Alaaa kumbeeeAnafichwa sana
HahahaAlaaa kumbeee
Kwa siku unausikiliza mara ngapi?
Nini wewe mtoto?
Fumba macho, inzi iko ingia.
Biblia umeenda nayo church na hujaisoma hakika hahaha
Nataka nipost picha; umejiandaa kutoka JF?Oooh!! Hawa orijinale. Wale wengine nitakutana nao January shule zikifunguliwa.
Nakulipa na haiba baadaye. Jiandae kutoka JF
Shingo mamiii imejua kujishepu vizuri
Hebu tupia yako nimemiss kukuonaNipo mkuu, Chat na picha