Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

vijana tutafute hela.
kuna watu wanakula maisha bhana.
huu ni muonekano wa ndani wa cruise ship inayojulikana kwa jina la sky princess.

hili dude hubeba watu classic na kuzunguka nao maeneo mbalimbali duniani kwa ajili ya vacation na kula bata tu, nasisitiza, kula bata tu.

juzi kati ilikuwa bahamas na sasa ipo kando ya bahari ya athens, ugiriki.

nasikia kuna familia nne za watanzania toka mkoa wa kagera na kilimanjaro wapo humo ndani wanakula maisha. mambo ya holiday seasons hayo.
GIF-191223_080452.gif
 
Back
Top Bottom