Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,284
- 108,300
'If you know you know'...unajuaaaa
Bado View attachment 1300488namalizia kutengeneza kachumbali
Bado View attachment 1300488namalizia kutengeneza kachumbali
Bado View attachment 1300488namalizia kutengeneza kachumbali
Haki nimecheka hii kitu naweza kununua wapi iliyoandikwa maandishi ya kimahaba 😄😄😄
Shukrani sana 🙏'If you know you know'...unajuaaaa
Karibu mpendwa ukule
Chakula ni baraka nakusubiri mkuu
Hapana nitatengeneza juice fresh
We mwenyewe unapenda matako probably you are eating 300% harmful bacteria



Hi mzee wa frogDada mbishi a.k.a dada pasua kichwa hi!![]()
We Hawachi si umeitwa mbona umejikausha?? Siku nyingine ukiitwa mbona huwa unakuja mbio leo vipi!! nasubiri vocha yangu ya buku,, TTCL hapa na ukizidi kuchelewa inaongezeka inakuwa ya buku mbili..
Ila daah hadi mie nimeshituka joanah kuweka picha mwee hatimaye,, hakika huo ni mwanzo mzuri sana..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatimayeee!!
Ndio maana ulikuwa hutaki kuwekaga maana those fingers enh😋❤
Nakuahidi sasa hivi picha zitakuwa ni moto humu
Naanzaje kutotuma dear kila mmoja kapata buku yake
Usijali mpendwa