Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Nilimpa Karma akuletee hivi hakukupa kumbe😎Mie mbona sijapata 😲
Ina maana yangu ipo njiani ama?Naanzaje kutotuma dear kila mmoja kapata buku yake
Yesu na Maria una kataa hivi 😄😄
Kwamba mnataka nyingine wapendwaIna maana yangu ipo njiani ama?
Yesu na Maria una kataa hivi [emoji1][emoji1]
Itabidi tu maana watu tunatumia freebasics hapa😄Kwamba mnataka nyingine wapendwa
Aisee juzi nilikupa mbili moja niliandika ya Joha😄
Aibu nimeona mimi[emoji85][emoji85][emoji85]Na kuninyima keki juuuuu. Kweli nina mama
Teh!!Tupo kwingineko
Nitakutafuta brother unitengenezee nzuriNipe oda na maandishi
Jr[emoji769]
Dear umependeza mnoPicha na chat wakuu yangu hii..guys nimeumia sana matokeo ya man u ,mnanishaurije natokwa na machozi kabisaView attachment 1300537
Nitaka kukutolea mahari kabisa my love,utakubali?Dear umependeza mno
Usijali kwa hilo nimekubaliNitaka kukutolea mahari kabisa my love,utakubali?
[emoji41][emoji41]Teh!!