Chloe 92
JF-Expert Member
- Aug 7, 2018
- 568
- 821
Ivi ulinipa sababu gani vile? NimesahauYaani nimekwambia nkikuona tu wewe namkumbuka Chloe O'Brien
Sent using Jamii Forums mobile app
Ivi ulinipa sababu gani vile? NimesahauYaani nimekwambia nkikuona tu wewe namkumbuka Chloe O'Brien
Naomba urakishe tu si unajua mwisho wa mwaka huu 😀Hahahaahaaaahah!!! Utafika tu, au ukichelewa tutauharakisha.
Yeah turudi darasani tu
I loved that girl kwenye 24. She was fantastic on her work and a big assistance to the guy
Okey ngoja nifanye hesabu zangu, si unajua sometimes 1+1=11Naomba urakishe tu si unajua mwisho wa mwaka huu 😀
Darasani ntakucheck
Poa nadhani mapinduzi cup nitakuja kuchek game mojaNext time ukija nishtue aiseeee

Sasa mzee mwenzangu, ukitaka kuyaelewa ya vijana wakati umri ushatutupa mkono lazima utapata msongo wa mawazo.But why
Sent from my iPhone using Tapatalk
Sasa mzee mwenzangu, ukitaka kuyaelewa ya vijana wakati umri ushatutupa mkono lazima utapata msongo wa mawazo.




Hahaha,
Lakini hata sisi tulipita huko
But that was bad
Sent from my iPhone using Tapatalk
Dah! Nilishajua nitakuwa tajiri.
Abee mpendwa 😅😅We Hawachi si umeitwa mbona umejikausha?? Siku nyingine ukiitwa mbona huwa unakuja mbio leo vipi!! nasubiri vocha yangu ya buku,, TTCL hapa na ukizidi kuchelewa inaongezeka inakuwa ya buku mbili..
Ila daah hadi mie nimeshituka joanah kuweka picha mwee hatimaye,, hakika huo ni mwanzo mzuri sana..
Sent using Jamii Forums mobile app