We mkaka utawapata!!!!![emoji134][emoji134][emoji134]Mkuu, tutawapata/watawapata tu wa huku. Kufahamiana na total stranger halafu mkafall huwa ni tamu sana. Sijui dada zetu wanakwama wapi.
Oh! Can't wait to see you baba J [emoji8][emoji8]
Have a nice trip
[emoji41][emoji41][emoji41]we mdada, niache nile ujana-uzee, maisha yenyewe haya unataka niwapate huko kuzimu!!!We mkaka utawapata!!!!![emoji134][emoji134][emoji134]
Kwahiyo ulotupata hatukutoshi bado upo mawindoni[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watukutu wame-quench kiu yako, dadeq!![emoji2307][emoji2307]
Ni kweli kabisa, japo nimesaidika ila duuuh!!Customer care za Bongo huwa hawapo serious sana...
MakubwaaaNi kweli kabisa, japo nimesaidika ila duuuh!!
Nimepiga akapokea mdada, sijui majibu kakaririshwa halafu kabishiiii[emoji134][emoji134] nikaona ananizingua, nikakata.
Nikapiga tena akapokea mdada, nikakata.
Nikapiga akapokea mkaka ana sauti ya kiume tamuuuu, hadi nimetamani shida isiishe [emoji85][emoji85]
Nimesaidika mama, wa kwanza ndio alizingua.Namba ya kitambulisho ulichosajilia hiyo sim card watakuomba na mara nyingi hata kama kitambulisho ndiyo chenyewe watakuambia siyo chenyewe,, halafu wanakuambia nenda whatever shop ukahudumiwe yaani basi tu sijui wanapenda kutuona madukani mwao mule..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyau weee
Hata aibu huna[emoji134][emoji134][emoji134]Haina shida hiyo hela mtumie humu kwangu; ataikuta akija
Si nimerithi kwakoHata aibu huna[emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe mchuchu bwana, maswahibu yako siyo kama yetu sisi wanaume [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha hivi vichambo vya mzazi unavijua lakini?? Maneno yanauma saa nyingine!!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji848][emoji848][emoji848]Hahah...kausha wewe!!!
Shindwaaa!! Hizo za mashangazi zako.Si nimerithi kwako
Wewe mchuchu bwana, maswahibu yako siyo kama yetu sisi wanaume [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya
Ni kweli kabisa, japo nimesaidika ila duuuh!!
Nimepiga akapokea mdada, sijui majibu kakaririshwa halafu kabishiiii[emoji134][emoji134] nikaona ananizingua, nikakata.
Nikapiga tena akapokea mdada, nikakata.
Nikapiga akapokea mkaka ana sauti ya kiume tamuuuu, hadi nimetamani shida isiishe [emoji85][emoji85]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
My kaka umekutana na nini lakini?