Selfika na JF: Snap it. Show it

Teh teh teeeeeeeh!!
Mkwe hebu tuwache kwanza, usijifanye hujui
Hapana mkwe ngoja niwape za uso kwa huwa mnazingua sana huku jukwaani, piga sana vijembe...

Halafu mara paaap tunakutana na nyuziii za wavulana wanajisifia, sababu tu jukwaani huku mbele mnakuwa wakali kila mdada ni St.Theresa...

Sasa mkipatwa na wavulana huko wanajiona kama wamefaulu mtihani wa kuingia Cambridge au Yale, wanaishia kuja kupiga vifua vyao huku mbele na nyuzi zao sijui za kimasihara etc...

Anyway ngoja niachane nayo mkwe, huwa hayanihusu sana
 
Mkuu, tutawapata/watawapata tu wa huku. Kufahamiana na total stranger halafu mkafall huwa ni tamu sana. Sijui dada zetu wanakwama wapi.
 
Tatizo JF mtu akikutokea usiishie kuwaza kuhusu kutokewa tu,, watu wako kazini humu..
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namba ya kitambulisho ulichosajilia hiyo sim card watakuomba na mara nyingi hata kama kitambulisho ndiyo chenyewe watakuambia siyo chenyewe,, halafu wanakuambia nenda whatever shop ukahudumiwe yaani basi tu sijui wanapenda kutuona madukani mwao mule..
Kwahiyo ni mwaka wa kuzaliwa tu?
Maana walinifungiaga namba yangu ya airtel kisa sikumbuki kiasi nilichokuwa nacho airtel money

Sent using Jamii Forums mobile app
 
VodaShop ni ofisi ndogo ya Voda, mostly huwa ni waajiriwa wa Voda...

Customer care ni subcon tu wale, hawana uchungu na kampuni wala wateja...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…