Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivi kwani huko off JF huwa wanaume hawawatokei?

Kwa nini ikiwa ni wa JF inakuwa tofauti? I guess it aint something of a big deal as long as anayekutokea sio roboti ni mtu...na huwa hakuna mipaka ya namna mtu anavutiwa na mtu mwingine

Just saying...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna siku nilipigwa ban, then nikapewa id ya kike na dogo mmoja niingie nayo jf. Niloyakuta pm nilicheka nikabaki "hiiiiiiiiii"[emoji134][emoji134][emoji134]
CC Karma
 
Teh teh teeeeeeeh!!
Mkwe hebu tuwache kwanza, usijifanye hujui[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…