[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu hapo mimi ni last born, jaribu kuwaza maisha ya hao wakubwa dear!!
Itakuwa wana undugu na bi mkubwa wangu maana kama pacha tabia zao.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mashost zangu walikuwa wakija mama hayupo nyumbani, sasa arudi bahati mbaya awakute!! Sijawahi elewa walikuwa wanatoa wapi zile mbio
Hahaha, nasikia JF wanawake mko 200 tu wengine wote ni manjemba yanajifanya totoz. Humu ndani bwana!!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mzee akiwa mkali si mnapumzika ila mama ni jino kwa jino[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah sasa sisi kwetu wanaodekezwa na mama ni first born na last born sisi wa katikati tupo tupo tu,, halafu sie mzee wetu ndiyo mkali kuliko bi mkubwa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwetu hakuna cha first born wala last born! Tumechezea kucha balaa!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah sasa sisi kwetu wanaodekezwa na mama ni first born na last born sisi wa katikati tupo tupo tu,, halafu sie mzee wetu ndiyo mkali kuliko bi mkubwa..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Itakuwa wana undugu na bi mkubwa wangu maana kama pacha tabia zao.
Wenu mpole mpaka mnapiga selfie?!
Hongereni sana jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa si mama wa kidigitali ndiyo maana
Sent using Jamii Forums mobile app
Experience mkuu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]dah source ya data zako ni ipi mkuu??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee akiwa mkali si mnapumzika ila mama ni jino kwa jino
Kwetu hakuna cha first born wala last born! Tumechezea kucha balaa!!
Usipike tu ugali Christmas mzee!Haha kuna menu nimeimiss mwenyewe, ntaifanyia mambo X-mas.
Experience mkuu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ushahisi unachati na Aisha kumbe unachati na Bakari wa Kimara Baruti. ???
Aiseee!! Wewe umekula bata sana jamani!!Mmhh sie kufinywa ndiyo hapana,, kwa Mzee tumekula viboko sana tu tena vya makalio alikuwaga hapigi vya mikono wala wapi yeye anadili na nyama ya sirikali tu..
Bi Mdashi ukimkera chochote kilicho karibu yake ambacho ataweza kukinyanyua na kukurushia basi atafanya hivyo sana sana kiatu au rimoti,, lakini pia maza yuko vizuri kwenye kuongea kuliko kupiga yaani akianzaga kutusema kila mtu anatafuta njia yake..
Sent using Jamii Forums mobile app
Usipike tu ugali Christmas mzee!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Medical Cannabis,Hahahaaha aisee sijawahi kupost bangi napostigi dawa iliyothibitishwa viwango na madaktari konki.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimehisi hilo kabisaa!! Wewe unikumbatie kabisaaa?!! Niogohaa
Teh yeh teeeeh!! Mnyakyusa ni mnyakyusa tu hata azaliwe New York.Ndiyo wa Kyela ziwani ndiyo wakorofi sisi wa Kyela mpakani ni wapole sana jamani
Sent using Jamii Forums mobile app