Asante sana mwalimu, itabidi unishike mkono kabisa.
Wanangu kila siku huniletea kesi za kuibiwa madaftari. Sasa nikawaambia mie sikuwahi kuibiwa daftari(kama ujuavyo mzazi ni perfect siku zote)
Wakaniambia "mwalimu tatizo litakuwa mwandiko labda" watoto wa siku hizi hawana adabu kabisa.