Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji69]
2nd-Mind-Example.jpg


Sent from my SM-A105F using Tapatalk
 
Mbona sura za kuonjea chumvi na ndimu?? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Na kweli huyo kaka ni mzuri jamani yaani akinyoa ndevu akicheka huwa kama mdada!! [emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960] bora afuge ndevu hivyo hivyo
Si nyie wadada huwa mnawasechi mafutbola mahendisamu...

Huwa hamuwezi sechi watu kama sisi wenye sura za kuonjea ukali wa chumvi au ndimu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oohh sawa sawa kabisa,, tufanye mpango basi 2022 tuende doha tukacheck FIFA [emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]

Sent using Jamii Forums mobile app
We can still plan...muda ndio sasa wa kupanga na kuamua...halafu tiketi unanunua hata miezi 6 kabla.

Nishawahi tazama games za Olympic nikiwa uwanjani, best experience ever (sitataja nchi)
 
Back
Top Bottom