Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Niko winja winja, tunaenda na vigoma kurusha roho huko skuli.
😂😂😂
Yani nilikua natafuta sherehe ili nikodi ile midoli, tushaipata twenzetu.!!

Ukimix na vigoma awwww 😹😹
Chino atashangaa jmosi hilo vibe lake, shuhuli imepata watu..!!

Au tumkodi na Mashalove 😹
 
Auntie mshunuu wangu ana graduate jamani 😍😍🔥🔥

Salon kashaenda kutengeneza nywele?

Nipe location nimletee zawadi, nakuja na ile midoli mikubwa inayocheza special for yeye..!!
Auntie naingia na matashtiti 😹😹

cocastic nipe kampani twende tukawachachue huko skonga…!
Huwezi amini ndio katoka saloon mda si mrefu!

Angalia anazak primary school kwenye Google map.

Unataka uje na wazawa band Ile ya tandare anayoitumiaga saula
 
Huwezi amini ndio katoka saloon mda si mrefu!

Angalia anazak primary school kwenye Google map.

Unataka uje na wazawa band Ile ya tandare anayoitumiaga saula
Ngoja nicheck sitaki kupitwa..!!

Salon kwa nani kaenda?
Nataka awafunike graduates wenzie woteee 😹😹😹

Coca ndo anavijua ngoja aje aseme tuje na kigoma cha wapi??
 
Back
Top Bottom