Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi JF nashindwa kualewa unaweza kukaa huna hili wala lile mtu anakuja na rundo la matusi
Jf vichaa ni wengi! Kuna watu siku zote comment zao ni za maudhi.

Na usikubali kua mnyonge; ukiwa mnyonge Kila mtu atakua ana ku bonda tu!!

Mpokee mtu kama alivokuja!
Humu tuko anonymous hamna kufikiri watu watakuonaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…