Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haki unanifurahisha,, mie nilikuwa naangalia sana zamani siku hizi nimepunguza maana niliokuwa nawakubali wengi wamezeeka wamestaafu na wengine wamefariki..
Hao ndo sijawahi waaangalia!!
Last time niliangalia nikalia sana, sijawahi rudia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah hata mie hao nawakubali sana sasa mimi hao ongezea Van Dijk, Origi, na huyo mtoto unayemsemea wa kuitwa Alexander-Arnold..

Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly...

Van Dijk reminds me the likes of Fernando Hierro, Cristian Chivu, Alessandro Nesta au Fernando Couto (sijui kama unaweza wajua hawa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…