spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,905
- 23,514
Had usemweππππ
View attachment 3702765
Mimi sio mtu wa picha kama lamomyπΈHad usemwe
Hamna hata unaamua tuMimi sio mtu wa picha kama lamomyπΈ
Malle papaa umemuona?
Hapo material yamejaa wewe ni kuita mafundi ujenge..!! πΉ
Hilo hardware lenyewe ushindwe wewe kumiliki mjengo..!!
Amua basi π₯³π₯³π₯³π€Hamna hata unaamua tu
Mimi tena?Amua basi π₯³π₯³π₯³π€
Ulikua wapi sasa na wewemy baadae irudiwe iyoo!! Nilikua offline
Wow jamani mdogo wangu mimi familia yetu tumejaliwa upendo utu na utulivu mpe mahaba mpaka apagaweYote haya naji-make kwa Ajili yake. Iwe Leo au kesho nitampa hata hiki kidogo nitakacho jaaliwa kupataπ
Ndio babyWewe wa kutumia iPhone eleven kweli? πΉπΉ
Mwananyamala gani tena na wewe yaani unataka kuninyima Sheynziiiiiiii weweπΉπΉπΉ Maelezo marefu nitapotea..!!
Au unasema mwananyamala kisiwani?
huko kote ni kuweweseka kwa chino tu; msamehe Bure.Ulikua wapi sasa na wewe
Halafu sipendi kuitwa my π€£π€£
Na kafanikiwa kunichanganya kabisa!! Siku zote hizo chino nilikua wapiMashallah π
Mtoto Una lips za kufyonzwa weyeee..!!
Kasura kazuri afu ka pliz babe kiss me..!π₯
Sio mtu msura umejaa km sinia la wali wa arobaini..!! πΉπΉ
Hapo shem lazima adinde muda wote..!!
Kapachino kazi unayo mwaka huu huchomoki..!! πΉ
IrudiweNimefuta πΉ
Dah π€£π€£huko kote ni kuweweseka kwa chino tu; msamehe Bure.
Lema anaongea kama katika kicwaNilikua namsikiliza lema!
Anakuharibu huyu π πNa kafanikiwa kunichanganya kabisa!! Siku zote hizo chino nilikua wapi
Kupatwa kwa chinoDah π€£π€£
Anachoongea hakielewiki it's better angechagua kukaa kimya!! Ukombozi si lelemaLema anaongea kama katika kicwa
mwambie sijiwezi kwakeNipo busy jukwaa la siasa chino bana..!!
Haya unasemaje?
Hakuna jipya, πΉIrudiwe