Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,420
- 104,233
Hilo analijua sema anakubania tu! 😹mwambie sijiwezi kwake
Hilo analijua sema anakubania tu! 😹mwambie sijiwezi kwake
Chino mnunulie babe wako skin care, mi naogea sabuni ya unga mwenzie..!! 😹😹Ndio baby
Mwananyamala gani tena na wewe yaani unataka kuninyima Sheynziiiiiiii wewe
Mchuchu kwangu we ni Kila siku mpya! Sijawahi tosheka kabisa na weweHakuna jipya, 😹
Anionee huruma hata kidogo;Hilo analijua sema anakubania tu! 😹
NdiyooooooMimi tena?
Coca mdogo wangu lazima niwe mkali ukivuka line..!Oh shemeji mbona ghafla umekuwa mkali? Naomba usimwambie dada Yako hili. Limeshapita.
Matraco yako 😹Mimi sio mtu wa picha kama lamomy😸
Ashindwe yeye, sema nilijitia uchizi kuoga mimaji yenye barafu nilipigwa vichomi hivyo 😹😹😹Mjengo wake tunamwekea jacuzzi, aamue yeye anaogaje warm, ice/cold shower...
AkupeNa kafanikiwa kunichanganya kabisa!! Siku zote hizo chino nilikua wapi
Wacha weeh 😹😹Mchuchu kwangu we ni Kila siku mpya! Sijawahi tosheka kabisa na wewe
Soon anakupa kuwa mvumilivuAnionee huruma hata kidogo;
Naenda ress sana sasa hivi
Upo wapi sasaNdiyoooooo
Nipoooo weka vitu🥳🥳🔥🔥🔥🔥🔥nilale moja kwa mojaUpo wapi sasa
Mganga wako kajua kuniwezaWacha weeh 😹😹
Napita hapa naked kaa kitaalamNipoooo weka vitu🥳🥳🔥🔥🔥🔥🔥nilale moja kwa moja
😅😅 haya napita sekunde ONipo machoo😍mida ndo hii sasa
Ashindwe yeye, sema nilijitia uchizi kuoga mimaji yenye barafu nilipigwa vichomi hivyo 😹😹😹
Kuna kichaa mmoja alinishauri ili kutoa wenge oga maji yenye barafu uzame ubakishe kichwa tu..!!
Yule mtu sijui mchawi? 😹
Amejivua nguo kuongea pumba 🙌🏼Kupatwa kwa chino
Anachoongea hakielewiki it's better angechagua kukaa kimya!! Ukombozi si lelema
It's better ange keep his mouth shut