Naijua iyooooo🔥😁🥳🥳🥳
Tupe viashiria vinavyokufanya kuamini hivyo.
Naijua iyooooo🔥😁🥳🥳🥳
Fanya kweli sasa🥳Malle, unahisi mimi nikimpenda Lamomy, kuna mtu atanizuia kumwambia/kumtongoza? 😊
Haipo hivyo..
😁😁me najua ivyo ivyo hamna viashiriaTupe viashiria vinavyokufanya kuamini hivyo.
Yote haya naji-make kwa Ajili yake. Iwe Leo au kesho nitampa hata hiki kidogo nitakacho jaaliwa kupata😌cocastic please nitunzie huyu mtu 🥹🙏🙏
😁😁me najua ivyo ivyo hamna viashiria
Hutakubali 😍😹ila.chat kwa picha 🔥🔥🔥🥳🥳🥳🥳Kwa iyo hujaona lolote, ila umefikia hitimisho kwamba tunanyemeleana! 😁
Hutakubali 😍😹ila.chat kwa picha 🔥🔥🔥🥳🥳🥳🥳
Nitakuchumia fimbo, nikuchape unajua?!😅Unanikosea 😹😹mimi natka vitu vizuri bana
Shemeji yangu mbona sijakuona.Nishaweka umechelewa 😹😹
Mnanionea😹😹humu mnawekaga kama sipoMbona picha zangu mimi, nimeshaziweka sana hapa, mpaka mmenichoka. Wewe uliweka picha moja tuu! Wewe ndio uweke picha kwanza.
😹😹mimi simtaki huyo mnayenipa nataka gen zNitakuchumia fimbo, nikuchape unajua?!😅
Mnanionea😹😹humu mnawekaga kama sipo
Anza wewe 🔥🔥🥳🥳🥳leo weekendHaya weka basi na mimi nitaweka. 😊
Si ndo hapo unanitongoza nakukataa maisha yanaendelea..!! 😹😹😹Malle, unahisi mimi nikimpenda Lamomy, kuna mtu atanizuia kumwambia/kumtongoza? 😊
Haipo hivyo..