Selfika na JF: Snap it. Show it

Pesa nizitoe wapi mi choka mbaya winga tu! 😹😹
Mawinga mna hela niuzie IPhone kumi na moya kuna mateni yanazaa hapa πŸ˜…
Kwanza hapa nawaza niogee sabuni ya unga 😹😹
Uongoooo bana toka
Hizo tuogee sisi
Ubalozi wa USA afu kisiwa?
Em elezea vizuri sijakupata hapo..!!
Huwezi kuelewa wewe wa kishua hupandi daladala

Iko hivi ukifika Morocco kama unatokea kinondoni si kuna mataa pale mkono wa kulia njia ya kwenda msasani namanga sijui kariakoo sina uhakika sana 🀣🀣

Mkono wa ku shoto kama unaenda kijitonyama sijui makumbusho bana elewa hivyo hivyo πŸ˜…πŸ˜…

Then sasa ukija kuleta skincare unaacha zote hizo unanyoooooooka unavuka mataaa kuna makao makuu ya Bolt hapo sio wewe nyooshaaa 🀣🀣
Mbele kidogo kuna njia panda hapo hiyo njia moja inaelekea ubalozi wa marekani nyingine hapo hapo masaki nadhani ni upande wa kulia
panaitwa ubalozi sasa wewe huko usiende nyooka tu kuelekea mikocheni kituo kinachofata kuna shopaziiiiii kituo kinaitwa kisiwa ni hapoooooooooooooo hapoooooooooooooo🀣🀣🀣

Hili Paragraph usiponiletea πŸ™†β€β™€οΈπŸ’”πŸ’”πŸ’”
 
Uduguu yani leo nimecheka kuna mmbea kanifata kunipa ubuyu tulabishana weeh..!! Akasema nenda selfika page ….. Sasa katika kucheck si nikakuona na tbt yako.
Mtoto uko msupuu..!! 😍

Mjep anafaidi jamani lol! 😹
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wee uduguu!! Kuna nini tena? TBT gani hiyoo?
Mjep ana wake unataka kuharibu husiano lake, wewe
 
Uduguu wewe unafukunyua ya kale? Kuna nini? Mbona unatishia amani na usalama? Em nidokeze kuna shengesha ipii?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Uduguu wewe unafukunyua ya kale? Kuna nini? Mbona unatishia amani na usalama? Em nidokeze kuna shengesha ipii?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
😹😹😹 JF haishiwi hekaheka..!!
Usalama upo wala usiwaze..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…