Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Itabidi iwe hivyo aisee halafu aje umpe na seti ya vijora ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Woyoooooooooooooo
Tajiriiiiiiiiiiiii

Nilitaka kushangaa msukuma gani haongi? ๐Ÿ˜น

Wasukuma ndo kabila la kwanza Tanzania wanaolea na kuhudumia wanawake..!!

Wasukuma igweeeeeeeeeee
Hizo hapo

๐Ÿซก
๐Ÿซก
๐Ÿซก

Wasukuma mlindwe kwa wivu mkubwaa..!! ๐Ÿ˜๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Wee Mallerina lini unakuja kuchagua vijora? ๐Ÿ˜น
 
Kumbe chatungi ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Ngoja nitumie emoji yako ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Si niliwaambia mumpe muache kumnyima ๐Ÿ˜น
Wakumpa wampeeee ๐Ÿ˜ซ
Yule anakupenda tatizo humzingatii anaona hasira zake akuchokoze..!!
๐Ÿ—‘๐Ÿšฎ
Wachaga hawajui kutongoza ni masimp msamehe bure..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Na hii pia weka humu diha๐Ÿ—‘๐Ÿšฎ
 
Ngoja nitumie emoji yako ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Wakumpa wampeeee ๐Ÿ˜ซ

๐Ÿ—‘๐Ÿšฎ

Na hii pia weka humu diha๐Ÿ—‘๐Ÿšฎ
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Ujue hapa nacheka mpaka machozi ndiomana niliwamiss humu..!!

Sasa nani mwenye akili zake timamu atampa chatungi papa ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Wote wanamfanya kama katuni wanawapa wengine wenye akili kubwaazz..!!

Na siku mtu akijimix kumpa naona file lake nitapewa kabla jogoo hajawika mara tatu..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Woyoooooooooooooo
Tajiriiiiiiiiiiiii

Nilitaka kushangaa msukuma gani haongi? ๐Ÿ˜น

Wasukuma ndo kabila la kwanza Tanzania wanaolea na kuhudumia wanawake..!!

Wasukuma igweeeeeeeeeee
Hizo hapo

๐Ÿซก
๐Ÿซก
๐Ÿซก

Wasukuma mlindwe kwa wivu mkubwaa..!! ๐Ÿ˜๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Wee Mallerina lini unakuja kuchagua vijora? ๐Ÿ˜น
Acha masifa ya kifaaaala basi ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Huwa tunatoa mifugo sisi
 
Acha masifa ya kifaaaala basi ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Huwa tunatoa mifugo sisi
๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Hapo kwenye mifugo, nipate moo wangu 10 niziuze tayari naenda kufunga mzigo china na uwinga naacha..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Wasukuma bana wanaume, mmebarikiwa kila kitu..!! ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
 
Back
Top Bottom