πΉπΉ Huyo ana kibuzi chake kinamnunulia migambuti basi anatusumbua kweli..!!Umeanza kumchokonoa Nicole Scherzinger Lamomy. π
πΉπΉπΉ Chivundu nafurahishwa na pirika zako za kunisifia, hakika safari hii nitapata mume JF.Kafananw nae kila kitu.
Huyo ukijimix watoto mapacha unapata si umeliona dume la simba hilooo πΉπΉMashaAllah
Ntilu mwandiga wanasemaje?Shukriya
We bana tulia hapo, shem anaonekana mambo safi uhakika wa kulala upo ana mjengo mkali..!! πΉπΉNaomba upigwe na radiπΉπΉπΉπΉaisee
We nawe acha tamaa πΉYupi huyo ? πππ
Mkeo hujampa hata nyumba, mwenzio Ntilusemwa ana mjengo mkali wa kupoa udugu wangu..!! πΉπΉNitakuchinja. Acha kumtaja taja mke wangu.
πΉπΉπΉπΉKwanini unashinda vichakani?
Dooh nimekoma πππWe nawe acha tamaa πΉ
Selfika kwanza, π₯π₯Dooh nimekoma πππ
Awwwww π₯π₯π
Eeeh hebu acha basi πHuyo ukijimix watoto mapacha unapata si umeliona dume la simba hilooo πΉπΉ
Huyo hashindii chipusi zege πΉπΉπΉEeeh hebu acha basi π
π πHuyo hashindii chipusi zege πΉπΉπΉ
Hapo show show mpk vikuku unaviona vizito mguuni..!! πΉπΉπββοΈββ‘οΈπββοΈββ‘οΈπββοΈββ‘οΈ
Kapachino njoo tupewe selfie ya kichuguu na mwenye kichuguu chake π
πΉπΉ wa kimoja chali?π π
Mie siwezi nataka wale wakula chips
Na mayonnaise
Nilikua kusaka makuta πΉKwanza ulienda wapi?
Mzigo unao mwali wangu anayebisha ana wivu na wewe..!! πKichugu wich namiliki mashavu mpaka mwajuma nichokonoe haishi kuanzisha nyuzi π π
πΉπΉπΉ kijora najitolea kumpa bure tusutane naye..!!Saivi amebakiza kuvaa kikuku na ushanga + kijora maana ngebe zake sio za wanaume kamili nahisi ni kama
Simba haina doumbia
Li Kiranga, ni lidude likuuuuubwaaa JF halinaga drama..!! ππ₯π₯Wakina kiranga wapo kujenga hoja yeye anataka kuingia uwanjani kumanua vidole π