Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 4,361
- 11,244
😹sifa ya mwanamke kuringa hujui🥳🥳Hatujakuchoka, wewe umaringa sana tatizo lako.
😹sifa ya mwanamke kuringa hujui🥳🥳Hatujakuchoka, wewe umaringa sana tatizo lako.
😹sifa ya mwanamke kuringa hujui🥳🥳
Huyo mnayenipa sio😹😹😹mambo yangu
Unataka tukutakie mema ya aina gani? Na wakati heri yetu ni wewe upate mume, na mume ndiyo yule mwenye shukurani. Ni neema kubwa kupata mume mwenye kushukuru.😹😹😹duh hii kali
Kweli hamnitakii mema🤣🤣🤣
Nikubali Nini Tena, na tayari nina mke wangu ananipenda.Ingekuwa ww ungekubali😹😹😹sema ukweli
Ukasaidiane na mumeo upate majukumu uache kushinda humu usiku.🤣🤣🤣kweli mmenichoka humu jukwani live bila chenga
Selfikaa selfike mtu basi ,tulale
Vitu vyako? Vitu gani hivo vinavyofanya uchukie Kila mwanaume tunayekupa?Staki me nina vitu vyangu 😹😹😹bana
Tunataka yule Jamaa akuoe. Na Hilo ndio jambo letu.Yani ww na Lamomy mna lenu jambo 😹😹😹😹
Ngoja tumuambie aache kuona wanaume kama bidhaa sokoni za kuchagua chagua. Umri Unaenda na Miaka hairudi nyuma.Kwa iyo sisi hatuna vitu vyako? Haya basi sawa.
Ngoja nimuite atuambie Nini shida mpaka unamkataa. Hey brother NtiluseswaHuyo mnayenipa sio😹😹😹mambo yangu
Mnamanisha 😹😹nisiwe na choices aiseeeeWewe umezidi aisee! Mwanamke akizidi kuringa anaboa pia.
😁ni siri yangu mimi kama mchaguajiUnataka mambo gani?
Kwanin mnaona ananifaaaa😹Unataka tukutakie mema ya aina gani? Na wakati heri yetu ni wewe upate mume, na mume ndiyo yule mwenye shukurani. Ni neema kubwa kupata mume mwenye kushukuru.
🤣🤣🤣🤣hayo maisha siyawezi ya shamba mimi😹💔Ukasaidiane na mumeo upate majukumu uache kushinda humu usiku.
Tumeshasema mumeo ndio huyu Ntiluseswa na huna Cha kufanya.Mnamanisha 😹😹nisiwe na choices aiseeee
Ayayayaaaaaa😍my fine baby is back🥳🥳🥳🥳🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🩷😍🌼chatin na picha😊