Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa mmemkataa mwenzenu afanyeje? Ndicho pekee kilichobaki. Msiwakatae wazee mtawaua kwa upweke.
Humu Selfika kuna wanaume kibao wanapita wanaondoka hawana haja ya kujitutumua ila yeye anavimbaaaa

Ku bull watu kama vile ana uwezo wa kuumba hata sisimizi

Yeye mbona anajulikana ila watu wapo kimya ujinga ujinga tu
 
Lamomy alisema mlimkataa mwenzenu basi hasira anawamalizia selfika.
Waliomkataa basi wamfikirie watuondolee dhahama

All men who have a habit of bullying women
stop that nonsense because it won’t heal the pain you’re going through Instead, you’ll only make yourselves look messed up
 
Back
Top Bottom