Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 4,303
- 11,069
Wewe yako iko wapi😹😹Tupo live tunasubiri picha za live😅😅
Wewe yako iko wapi😹😹Tupo live tunasubiri picha za live😅😅
Msifute nasi tuone kinachowatoa mapovu hawa watoto.Hapa sasa unatupangia mbona 🤣
SawaWeka yako usifute🤣
😹😹😹😹utaachwa wwIla kwetu mtashindwa 😅. Kwa penzi analonipa mke wangu Bado yupo sana simuachi.
Mapovu ni trauma tu za nje ya Jeyihefu sina hakika kama ni picha tu 🤣🤣Msifute nasi tuone kinachowatoa mapovu hawa watoto.
Sawa
Hizo hapana🤣🤣🤣
Itabidi nipige nikiwa nimevaa boxer kabisa
Ipo kwa fundi usijisumbue kupiga 🤣🤣🤣Kaka pokea simu 🤣🤣
Nina kesi na wewe
Sasa si uende huko X, mtoto wa kiume unakuwa na gubu kama kuna wake wenzio humuHuko x twitter , tunaongea ukweli mtupu ila njoo humu sasa😅😅 eti mrembo😅 nyie sijui mnatuona mat,,ko yenu au?😅
We mtu kwema vipi ile issue ili isha swalamaEeh. Nikiachwa halafu....
Je utakuja wewe?,😅
We mjanja weka picha ya live🔥🥳🥳🥳mtu kilimanjaro mojaHahah nilishapita mno😅😅
Nipo rada subiri nilewe😅We mjanja weka picha ya live🔥🥳🥳🥳mtu kilimanjaro moja
Ninga photo basi😹😹
🤣🤣🤣🤣 hili nalo neno. Maana haiwezekani hivi hivi tu. Ila nanyi mna tabia mbayaa kwanini mnakataa wazee?Mapovu ni trauma tu za nje ya Jeyihefu sina hakika kama ni picha tu 🤣🤣
Kaka 🙆♀️ we hayaIpo kwa fundi usijisumbue kupiga 🤣🤣🤣
Ukilewa tupia tufurahie leo weekend🥳🔥Nipo rada subiri nilewe😅
Simu mbovu imeharibika button ile ya space bar haifanyi kazi 🤣Kaka 🙆♀️ we haya
Hahhaa nipo rada, halafu sijui kwa nini pisi chafu ndio zinakua na makasiriko na mimi 😅, hahaha tufanye kula bia tu rafiki yangu 😅Ukilewa tupia tufurahie leo weekend🥳🔥
Mbona haupiti? Au upo bado upo kwenye foleni ? 🤣Ukilewa tupia tufurahie leo weekend🥳🔥