Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 4,278
- 10,973
😹😹Pale kwa mandula ndo sikushauri kabisaaa 😹😹😹
😹😹Pale kwa mandula ndo sikushauri kabisaaa 😹😹😹
Atakayenijia na kumsema mke wangu Vibaya namfurushia mawe tu.Hili penzi hata upeleke umbea wa kweli unafukuzwa kama mwizi..!! 😹😹
Nyie kweli mnapendana 😹
Hizo siasa sasa! 😒Weka, niweke au na wewe unaogopa? 😊
Pita basiManeno yamekuwa mengi kuliko picha
Huyo sio wako mpaka uweke picha ya pamoja😹😹😹hapaaaAtakayenijia na kumsema mke wangu Vibaya namfurushia mawe tu.
Mbn nimepita mud sio mrefu 😹Pita basi
Irudiwe nilikuwa mbali na hapaMbn nimepita mud sio mrefu 😹
Nikipita nakushtua chappIrudiwe nilikuwa mbali na hapa
Sawa papaa😊Sijui sasa, muulize Lamomy.
Hizo siasa sasa! 😒
Unapita kama umeme😹🔥Sawa, picha hii hapa. kuna swali?
Hahaha tunaweka mizani tu😅mwanaume anapita vipi kizembe hapa 😅Halafu wanaume mnaopita mpite bila emoji, hizo emoji ni ke tu..!!
Naomba nieleweke 😹
Halafu wanaume mnaopita mpite bila emoji, hizo emoji ni ke tu..!!
Naomba nieleweke 😹
Wewe dada una wivu. Ipo siku utakunywa sumu humu siku tukiweka Picha ya pamoja.😅Huyo sio wako mpaka uweke picha ya pamoja😹😹😹hapaaa