The ghost writer
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 868
- 1,799
Nakukumbuka dada yangu. Nakuona upo tunapishana tu Hapa. Si unajua maisha lazima yaendelee hata kama ni maumivu. Ila baada ya muda unashukuru unasahau Akili inakaa sawa.We mtu kwema vipi ile issue ili isha swalama