Luna79
JF-Expert Member
- Sep 4, 2026
- 399
- 1,170
Sasa kwanini mnafuta? Mnatukosesha uhondoZinafutwa diha hua haziacwi
Wewe kaa chonjo tu utaziona
Sasa kwanini mnafuta? Mnatukosesha uhondoZinafutwa diha hua haziacwi
Wewe kaa chonjo tu utaziona
Kila penzi litaonja mauti😹😹😹mkuuBaraka gani?! Usije kuwa umetumwa na mganga Picha yetu ya pamoja mtufakarishane. 😅
Kwamba una wasiwasi na mimi😅😅We pita naked😹😹
Mbona hupiti we mwali ? 😅😅😅We pita naked😹😹
Maamzi tu wengine pia wanaachaSasa kwanini mnafuta? Mnatukosesha uhondo
Wanaboa sana sasa sijui kwann huwa wanafuta ?Sasa kwanini mnafuta? Mnatukosesha uhondo
Hapana, usiyapangie macho yangu vya kuona🤣Angalia viatu na suruali wewe 😀😀😀
Nimeipenda avatar yako Mdogo anguMaamzi tu wengine pia wanaacha
Hata wewe ukitaka weka mamaa jukwa huru hili mhimu heshima
Msifute bwanaMaamzi tu wengine pia wanaacha
Hata wewe ukitaka weka mamaa jukwa huru hili mhimu heshima
🤣🤣🤣Hapana, usiyapangie macho yangu vya kuona🤣
Nawe kwanini uweke picha nusunusu?Wanaboa sana sasa sijui kwann huwa wanafuta ?
Hapa sasa unatupangia mbona 🤣Msifute bwana
Ila kwetu mtashindwa 😅. Kwa penzi analonipa mke wangu Bado yupo sana simuachi.Kila penzi litaonja mauti😹😹😹mkuu
😹😹pita basiKwamba una wasiwasi na mimi😅😅
Kuselfika ndio kufanyaje?Ewaaaaaahh..!!
Nimechafuka minyota, atakayeharibu utulivu anakula Shaba yake anaenda kupumzika..!! 😹
Amani ipo ya kutosha, haya selfika mrembo 😍
Kaa chonjo🥳Mbona hupiti we mwali ? 😅😅😅
Hahah nilishapita mno😅😅😹😹pita basi
Emoji ni ke tu!
Mwanaume unawekaje emoji?
Unaficha nini? Kitumbua? 😹
Kaka pokea simu 🤣🤣Nimeipenda avatar yako Mdogo angu