[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwamba nimeongea uongo tena..? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hutakii amaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaa...
Ndio maana unanikimbia kimbia eeh..[emoji23][emoji23][emoji23]
Endelea kubishana na ukweli tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah...Si picha tu eti.[emoji3][emoji3]
Saa, raba na tshet... Hapa natafuta trouser tuu
Haha ni mtu-mungu kwenu, kwetu ni mtu mfupi tu mwenye matatizo ya kimo chake. Ndio maana ni mkubwa kuliko club yenu, kwetu hakuna kiumbe aliye juu ya club.
Aisee kwani kabla ya 'mtu mfupi' tulikuwa hovyo?? Tutake radhi hebu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee
Saa, raba na tshet... Hapa natafuta trouser tuu
Euro basketball huwa sitizami sana...labda game moja au mbili kwa mwaka kwa hiyo huko hata sijui nini inaendelea...hahahLol kumbe na wewe ni wa Barca mkuu? Lol umeisha. Akiondoka mtu mfupi, tutawafanya tunachowafanya kwenye Basketball.
😅😅 watu wamejificha kwenye vijiwe vyaoNaona JF kumepoaaa kumbe watu mpo huku..
Nimeshanga na wale wanaokulana kimasihara huko wamejaa hatari
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28] watu wamejificha kwenye vijiwe vyao
Hahahahahaha
Kabla ya mtu mfupi ligi yenu ilikuwa Atleti. Subirini tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe kuna Raba?[emoji1787]
Sent using my 6x6 bed.
Ah mkuu unazingua sasa,, hakuna mchezaji kwetu aliye juu ya club.. hata kabla ya Messi walikuwepo wengine na Barcelona ilikuwa juu kama hst [emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaha
Unasemaaaa
Hamkumlipia mtu mfupi fine yake ya kukwepa kodi? Hamkuwalipa bonus na mishahara/marupurupu familia nzima ya Neymar? Hamumbembelezi mtu mfupi karibia kila msimu abaki na bonus za hatari? Unajua mara ngapi mmekopa ili kulipa wafanyakazi mishahara sababu ya mtu mfupi?