Nani aliye kumezesha sumu ewe Chica, na kwanini unasikiliza maneno ya walimwengu?Oyaaa sitaki mazoea kuniquote kila muda fuata mambo yako
Asante sana na kwako pia 😊, hebu nipumzishe hili fuvu sasaSijaiona. Well, utaweka kesho. Usiku mwema.
Lamomy hujambo? Usiku mnene uko JF? Inasikitisha sana.Una order brittanica unaletewa MamaSamia2025 😹😹
Nimekuona na lakuchumpaYani hpa nimekufa nimezimia😹😹😘
Muweke yeye SasaHuyu sio wewe😳
Huyu
Kapu la sadaka limejengewa ukitumbukiza inatokea ndani kwenye chumba cha mhaziniMi nitakua upande wa kikapu cha sadaka 😹😹
Kumbe tunangojewa tulaleSasa hivi nimeona umepitaaa. Nouma sanaaa.
😂😂😂
Nimeomba awe wangu anakaza ubongoYaan huyu bebee wake sijui alimuokota wapi? Na anashindwa kumuelekeza aendane nae, sasa wee cheki ndula, hilo bwanga, utadhani wadudu wa chuga wa kike.
😂😂😂😂😂
Fanya umchukue mazima, Alooooh.Nimeomba awe wangu anakaza ubongo
Polee 😂😂😂Kumbe tunangojewa tulale
Wewe ni msafi, nakupenda buree mahi.Asante sana dear
Kweli kuna wengine ni wachafu mpaka wanakera
😂😂😂 huyu ni kwenda nae ki ulalo ulalo, hakuna unyonge atakuzoea vibaya, alooohJitu lipo kama sumu kila linapokanyaga hata kama kulikua na amani baasi muda huo huo kunachafuka
Hebu mie kwa herini
Yaani sijui yupo je sijui dishi😂😂😂 huyu ni kwenda nae ki ulalo ulalo, hakuna unyonge atakuzoea vibaya, aloooh
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sasa unaogopa nini wakati uko so 🥵🥵🥵
Nimependa shape yako. Km kichuguu kisichoanza kutoa Mageke.
🔥🔥🔥
Jamni mbn mnapitaga kama nimesinzia😂😂sina bahati.kwa Chica mimi
Afu we mtumishi 😹😹😹Acha izo zakoGudi
Nimekuona na lakuchumpa
Mtumishi (mme)Afu we mtumishi 😹😹😹Acha izo zako
Mume koma😂😂😂we mzeee aiseeeeeMtumishi (mme)