Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 42,301
- 101,832
Imagine linavaliwa na binti mdogo 😹La kuchumpa la kupalama... pantoni...
Umenikumbusha mbali sana...😁
Imagine linavaliwa na binti mdogo 😹La kuchumpa la kupalama... pantoni...
Umenikumbusha mbali sana...😁
🤣🤣🤣🤣🤣ila nyie
Mimi nipo humu nikiamua nalala humu naamkia humu 🤣🤣muda wa kujibu mashtaka sinaNdio 😹
Kesho wanaanza kuulizana, mpaka saa 6 JF ulikua unafanya nini?
Imagine linavaliwa na binti mdogo 😹
Mtoto mdogo na mindula wapi na wapi? 😹😂😂😂😂
Niliselfika apa mpk asbhiiiiiiiiii nakumentionMbona sijaona!
Uduguu, hapanaa, mchuga wa watu atani 🔫. Sio kwa fujo hiyo sasa.Ushindwe wewe 😹
Mkuu Asantee sana kwa ushauri nimeupokeaNi kweli si tumechukua cheti cha majukumu mapema ,wengine waoga .Ikishindikana kabisa pata hata mtoto ,ndio alama zetu muhimu tutakazoacha duniani.Asante.
😹😹😹Uduguu, hapanaa, mchuga wa watu atani 🔫. Sio kwa fujo hiyo sasa.
😂😂😂😂
😂😂😂😂 haamini anachokiona.Hata kuwa mzee kwenye ndoa mzee 😹😹
Bi harusi mwenyewe mpaka anacheka 😹
🤣🤣🤣hio sasa ndo picha ya kuselfkia humu kabisaaaaa🔥Imagine linavaliwa na binti mdogo 😹
😅😅Mi nitoe kwenye wingi 😹
Yani naenjoy hapa nimejiachia sibanwi
😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣ila nyie
We lamomy sema tu nikuazime uendee kwa fally😹😹😹😹Mtoto mdogo na mindula wapi na wapi? 😹
Kakosa hata samba kweli?
Sasa hivi nimeona umepitaaa. Nouma sanaaa.Wewe coca nilipita mchana bana afu unazubaaa😂😂😂
😹😹😹 Au bwana harusi kuzungukia michango kumemzeesha..??😂😂😂😂 haamini anachokiona.
Uduguu nakugawa buree. Wallah.
Hapana, utachoma server mdogo wetu 😹😹🤣🤣🤣hio sasa ndo picha ya kuselfkia humu kabisaaaaa🔥
We unapita ukitubania ata jicho😹Sasa hivi nimeona umepitaaa. Nouma sanaaa.
😂😂😂
Watanirudisha mlangoni watajua nimeenda kuanzisha fujo 😹😹😹We lamomy sema tu nikuazime uendee kwa fally😹😹😹😹
Acha nichomeHapana, utachoma server mdogo wetu 😹😹