cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 122,228
- 201,219
Yaan huyu bebee wake sijui alimuokota wapi? Na anashindwa kumuelekeza aendane nae, sasa wee cheki ndula, hilo bwanga, utadhani wadudu wa chuga wa kike.Mtoto mdogo na mindula wapi na wapi? 😹
Kakosa hata samba kweli?
😂😂😂😂😂