cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 122,266
- 201,308
Kunachosha mno mnoo!! 😂😂😂.Max sijui anafeli wapi? 😹
Kutype kunachosha
Aweke space tukwaruane kwa sauti humu. Lol
Kunachosha mno mnoo!! 😂😂😂.Max sijui anafeli wapi? 😹
Kutype kunachosha
Migambuti hiyo😀😀Mbona km kuna kitu kimechora kama mizizi hapo kwa pembeni? 😹
Thubutuuuu 😹😹😂😂😂 sasa humtaki? Afu ujue ni hansamu boi yule, tall, dark skin, slim, pesa anazoo, utake nini tena hapo?
Mbinguni utaona view once 😹😹😹😹😹Mbona km kuna kitu kimechora kama mizizi hapo kwa pembeni? 😹
Umeingiaa sasa, 😂😂😂Kichogo nmeingia
KabisaaaKipande cha fweza
Kama wana jukwaa tunaomba kila page utupie🥳photoPages nyingi hakuna picha
Upo wa kutoshaa 😹😹Em nikuonee kwaniii, una mtraaco sahivii??
😂😂😂
Na Ulinzi uko wa kushatoo!! 😂😂😂Thubutuuuu 😹😹
Ili nkirud ziwani nipelekwe gerejiKama wana jukwaa tunaomba kila page utupie🥳photo
Pita basi nikuone mahi uduguu. 😂😂😂Upo wa kutoshaa 😹😹
😂😂😂😹😹😹hawa watanipiga risasi nikicheat bora huyu anasamehe😹😹😹
Mie nikavunga, wee umeamua ulipue tu.Mbona km kuna kitu kimechora kama mizizi hapo kwa pembeni? 😹
Kama wana jukwaa tunaomba kila page utupie🥳photo
Anakuingiza chakaLipa namba inakuhusu 😹😹
Umeamini maneno yangu?
Mpaka umeniomba basi naacha 😹😹Alinileteaga viatu ila vimezeeka 😹😹💖usimchambe basi kama kwenye lipgloss🔥🔥🔥😘shemeji yupo na mtatamba nayeeeeee
View attachment 3692129
😂😂😂😂 unanichekesha mnoo, khaaahMpaka umeniomba basi naacha 😹😹
Ila ajitahidi kuongeza pair za viatu kwa wakati, yani mpaka vinaisha yeye hajaleta vipya? 😹
Hajui kumiliki pisi kali gharama?
Suti ya mtumba hio mambo hayo ziwani yanasaidia sanaspidernyoka, hii suti ni kali sana. Kwa sisi tunaojua misuti.. 😊