Fungua code kdg mkuuHakuna shangazk la peke yako mzee, hata kitaani. Ni ligi tuu, kukubwa ucheze UEFA.
Poleee 😀😅 Steve Rogers muelezee
Asante sana dearOooh hapo sawa, ninao waona wengi sio rangi ya nywele, ni uchafu wao tu.
Hongera kwa kutunza ras, ni nzuri na zinavutia.
Guyzz!!
Mlale unono!! 💤💤💤
😴😴😴
Polee sanaMi nakuwa mentioned, nikifungua nakutana na "kuna changamoto". Ndio nini sasa jameni. Acheni picha hata dakika moja basi. 😊
Jitu lipo kama sumu kila linapokanyaga hata kama kulikua na amani baasi muda huo huo kunachafuka😂😂😂 mahi una mkataa kweupe hivi? Atajinyonga huyu dogo, aloooh.
Hahahhahaha🤣 aisee... Ila we mkali balaa..😂Nitolee us&nge wako
Hukutosheka kwenda PM kwa mtu kumpelekea picha yangu huku unajikomba halafu unataka nikuchekee komaaaaa nikomeeeee Kafie huko
Aisee 🤣 mbona ShesRise_1 mkali namna hiiJitu lipo kama sumu kila linapokanyaga hata kama kulikua na amani baasi muda huo huo kunachafuka
Hebu mie kwa herini
Weee usiniambie 😅😅Usafi wa kuzidi ni moja ya sifa zangu tano za kupenda na kuoa mtu. 😊
Mwanamke vyovyote awavyo, akiwa msafi tayari kwangu ana C.
Polee sana
Weee usiniambie 😅😅
Nikirudia nitakuita ngoja huyo mwenye utoto aondoke kwanzaHebu nifanyie hisani Chica, rudia picha hiyo. Na mimi nitakupa picha, ukihitaji. 😊
Onhoo basi hongera ðŸ¤Ndo hivyo! Natoaga maksi za usafi, chini ya wastani basi. 😊
Asante sana, na kwako pia ulale salama
NNi huyoo🤣Nikirudia nitakuita ngoja huyo mwenye utoto aondoke kwanza
Nashukuru kaka.Poa mwanangu Steve, usiku mwema.
Oyaaa sitaki mazoea kuniquote kila muda fuata mambo yakoNNi huyoo🤣