Mlale salama wandugu, View attachment 1293586
toa Munchen (nawashabikia wakicheza na wabaya zetu tu) na PSG (huwa sina shauku ya kutazama Ligue 1), the rest ni sawa
Anajaribu kujitutumua tu huyo amepiga sana 92 au 91
Sent using my 6x6 bed.
Barca ndio wanatakiwa kuwa na wasiwasi, sababu mtu mfupi ndio.anafikia ukingoni na hadithi yao itaishia hapo.
Juzi niliikumbuka kenya talk nikasema ngoja nikapitie thread za huko[emoji3]View attachment 1293813View attachment 1293814
[emoji15][emoji15][emoji15]Kosa?Muda si mrefu unachezea Ban
Sent using my 6x6 bed.
Unaweza ukanipa top four yako ya fasta fasta ya wachezaji bora duniani
Wengi tu tuna account huko, sababu JF ilipigwaga bunn. Wengine bila JF maisha hayaendi.[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] juzi juzi nilikuwa napita huko nikakutana na Sky Eclat
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha...Muda si mrefu unachezea Ban
Sent using my 6x6 bed.
Futa picha faster kabla wenye nyumba hawajapita na wewe[emoji15][emoji15][emoji15]Kosa?
AbeeeeCc @Sakayo
Sent using my 6x6 bed.
Si picha tu eti.[emoji3][emoji3]Futa picha faster kabla wenye nyumba hawajapita na wewe
[emoji8]
Wala sio offensive, na mmeikubali kabisa lol. FYI, Cristiano Ronaldo tulimuondoa, hakuondoka kwa hiari yake. We made him, we'll make another one. Nyie sasa na kale mtu-mungu kenu, mnatia huruma sana.
Dah...kuna ukweli
Lakini siku zote Barca imekuwa ikipata mrithi wa injini ya timu tokea enzi hizo...
We shall prevail
Lini utaacha uongo eti, mwaka unaisha huuEeeh...
Nimepost mkono wangu ...netwek ikazingua [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app